SANAA YA PWANI :BEKA THE BOY TAYARI KUWACHIA KIBAO KIPYA MTINDO WA RnB.



SANAA YA PWANI :BEKA THE BOY TAYARI KUWACHIA KIBAO KIPYA MTINDO WA RnB.

Sio mtindo uliozoeleka na wengi bali msanii akiufanya basi lazima watu watulie wasikilize.
Beka the Boy ameamua kufanya mtindo wa RnB kwenye wimbo wake mpya Jidai.
Chini ya uandalizi wake produza gwiji pwani, Totti La Inter, Beka amewachia vokali safi na za kuteka nafsi za wapenda muziki.



Video imetayarishwa ndani ya Malindi city, director akiwa Marvin Brudaz wa Undepicted Films and photography.
Uzinduzi wa video utafanyika Malindi Fermento 9 September 2017 from 11:00.
Kwa sasa tusidokeze mengi ila tusubiri video yenyewe.....



Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA