RAPPER WA KIKE TOKEA PWANI AWACHIA PINI JIPYA!!!
RAPPER WA KIKE TOKEA PWANI AWACHIA PINI JIPYA!!!
Idadi ya wasanii ikizidi shuka hasa hapa Pwani, msanii wa kike anayetamba kwa mtindo wa hiphop, Boomer Best amekuja vikali kwa video mpya.
Boomer Best aliye chini Ya Young Boss music alipiga wimbo hatari kwa jina 'Mtoto wa Kike' na video kufanywa na Director Lamar.
Video hiyo yapatikana kwenye you tube. Icheki hapa.... ameweza?
https://youtu.be/ZPKx9vZBXmo
Comments
Post a Comment