JE JAFFARIZOH KAWACHA MUZIKI NA KUWA VIDEO DIRECTOR??? PATA UKWELI HAPA!

Huku akibandika picha hizo kwenye kurasa zake za Facebook, Ryzo huandika na kupiga Lebo picha zake kwamba kampuni yake ya video ni ANOTHER LEVEL FILMS.
Ni majuzi tu pale alipobandika picha na kudai kuwa ana wimbo mpya ulioandaliwa na produza Morbiz na video chini Ya kampuni yake ya Another Level Films.

Comments
Post a Comment