MAMUU.... AELEZEA PRINCE OF MELODIES!!!! SOMA HAPA!!
Msanii tajika Pwani, Dully Melody ameamua kudondosha wimbo wake mpya kwa jina MAMUU.
Abdhuli Jimmy Jowa almaarufu The Prince of melodies alisikika kwa Mara ya kwanza kwa kibao chake 'Yagayaga' alichokifanya mwanzo wa mwaka 2016.
Baada ya kutoa msururu wa hits zilizotikisa chati za Pwani, ikiwemo ngoma 'kivumbi' aliyomshirikisha rapper wa kike Cml.
Na raundi hii, chini Ya director anayetokea Nakuru, Thomas Tomsy, Dully ametayarisha video moja itakayo tikisa anga za muziki wa Pwani.
Audio imeandaliwa na produza Noor Mwamba.
Usikae mbali!!!
Vilevile Kupata Skiza tune ya ngoma za Dully Melody fuata maagizo hapo chini
Hongera_71228572
Inakera moyo_71228573
Kivumbi_71228574
Yaga yaga_71228575
Hizo ndizo codes chagua unayotaka utume.
Message word SKIZA alafu space uandike code ulichagua utume kwa nambari hii 811.
Comments
Post a Comment