ANITA WA PWANI CELEBRITY AWARDS AGADHABISHWA NA CARTELS ZA MUZIKI PWANI!!!!!
Anita Santuri, ambaye wengi wetu twamfahamu kupitia tuzo za Pwani Celebrity Awards na Ashantyz promotions amegadhabishwa sana na tabia ya washika dau wa sekta ya muziki pwani.
Mwanadada huyu ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha Mseto East Afrika cha Citizen TV aliyatoa maneno haya tarehe 9,mwezi wa Septemba huku akilalamika sana kuwa wasanii wanaoibukia hawapewi nafasi kwa sababu jamaa wamejenge Vikundi vya kivyao vyao ili wajipe support wao kwa wao.
Anita alipachika haya kwenye Facebook....
"I'm so disappointed at some of the coast entertainment stakeholders. .... why not support? ?? why not give chances to talents?? why create a crew that is enclosed not allowing change? ?? is it coz you think the other person will outshine you? but that's how you create healthy competition yawa..... then unakaa kwa TV ukisema vile umesaidia watu wengi!!!!! really !!!!!!! anyways tushawazoea. bora uzima hata nyerere na moi walikua raisi hivi wamestaafu..... UTASTAAFU PIA. ....."
HIVI JE MWANADADA HUYU ALIONGEA UKWELI????
Comments
Post a Comment