UKINIJIBU NAKUROGA - - - KAULI YA SUSUMILA KWENYE WIMBO WAKE MPYA TEBWERE download it here!!!
Msanii mkali tokea Pwani, Susumila amezuka tena na disstrack kali sana.
Susumila baada ya kutajwa na msanii Dogo Richie kwenye nyimbo ya majanga, msanii huyu wa Tuliza Nyavu ameachia kibao chake huku akitoa misemo mikali... "Majanga ni msanii kuishi nyumba ya tenga mbili....."
Akiongeza msumari Moto kwenye kidonda jamaa huyu wa Wachawi international alimalizia kwa mistari kuwa msanii yeyote atakayejibu diss hii yake atamroga. Haya nani yuataka kurogwa!!????
Ipakue nyimbo yenyewe hapa
http://mdundo.com/song/97049
Comments
Post a Comment