"INTERCONTINENTAL SCAR" YA HUSTLA JAY YAPATA TEULIWA KWA TUZO ZA KIMATAIFA ZA FRANCE.
Tulimsikia kwa Mara ya kwanza kwa kibao MINYORORO YA HAKI iliyoshika chati sana na kufanya mapinduzi kwenye sanaa ya Afrika Mashariki. Hustla aliye na hulka ya kuifundisha jamii kwa kupigania haki kupitia muziki wake ameteuliwa kuwania tuzo fulani ambapo video yake imechaguliwa katika kipengele kimoja kwenye tuzo hizo.
Comments
Post a Comment