HIVI JE HILI NI DHIHIRISHO KUWA WASANII WA MALINDI WAMESUSIA NZUMARI AWARDS?


Baada ya Nzumari Awards kutoa list yao ya nominees na mashabiki kulalamikia baadhi ya vipengele vya nominees,wasanii wa hip hop wa Malindi wametoa listi yao ambayo bado hatujabaii Kuwa in ya awards ama nini. Listi hiyo iliyolenga wasanii wa hip hop pekee vilevile ina voting platform na ukiichunguza sana inaikashifu listing ya Nzumari hip hop artist of the year MOMBASA. List yenyewe ni hii
THE BEST HIP HOP ARTIST MALINDI 2015
MCS KIWANJA
K- MODE
MC NDOMBI
YOUNG NJITA
KATOI WA TABAKA
MITAA YA KISAUNI
BOZEN
YTE
MONSTA WARA WARA
HIVI JE MNADHANI NZUMARI AWARDS ILIWADHALILISHA WASANII NJE YA MOMBASA.....MANAKE MAENEO KAMA KWALE, VOI, KILIFI, MALINDI ETC WASANII WAO HAWAKUWEKWA KWENYE ORODHA YA NOMINEES INGALI WAO NI WA PWANI.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA