RICH MAVOKO ATUMIA MKOROGO KUWA MWEUPE??? .DAAAH CHEKI PICHA HAPA!!!!
Afrika Mashariki inajivunia kipaji cha Rich Mavoko ambaye kwa sasa ameachia kibao kipya kwa jina NAAMINI. La kushangaza ni kuwa jamaa huyo amezidi kuwa mweupe kila uchao. Sijui anataka kujifanya Michael Jackson au vipi ila kulingana na blog ya Bongo Swaggz picha hizi zake za zamani na za sasa zitasema yote.
Kabla
Comments
Post a Comment