BAADA YA MIAKA MITANO PRODUZA AMMZ AWACHA KAZI SQ RECORDS LEO HII.
Baada ya kufanya kazi miaka mitano ndani ya SQ records, producer Ammz ukipenda Wa Leo au tone la maji Leo hii amebwaga chini vyombo vya kazi. Ammz ambaye ameproduce hits kibao tu chini ya Sq records alitudokezea haya hapo Jana na akasema ametoka studio ya SQ Records kwa nia njema na anawashukuru sana aliofanya kazi nao. Ammz amefanya kazi SQ kwa miaka mitano ambapo ni kuanzia 24th November 2010 hadi 24th November 2015. List ya maproduza wa SQ in order ni kama ifuatavyo:
1.V sita,
2.Shirko
3 K-kroniqs,
4.Tk2
5.Amz.
Vile vile Ammz amedokeza kuwa mwaka ujao atafungua studio yake binafsi kwa jina TEMPOZ RECORDING STUDIO.
Comments
Post a Comment