DULA AFRICAN SONGBIRD AKUKARIBISHA KIOTANI MWAKE.
Dula ambaye kwa sasa wimbo wake wa TIARA umeshika wimbi la muziki wa pwani ameamua kupanua mbawa zake zaidi.Msanii huyu yupo matayarishoni ya video yake ya muziki ya kwanza kabisa na anatafuta band ya muziki na mabinti 20 ili kuweza kuifanikisha video yenyewe.
"Dula is looking for a Band & 20 Ladies to feature in His first Music Video ever... Dula will be shooting His new Song "Bila wewe" Wiki ijayo.
For More info: Call
+254727649494"
Huu ndio ujumbe alioutoa mitandaoni.Kwa hio kama una band ya muziki wasiliana kwa nambari uliyopewa.Bila kusahau mabinti 20 vilevile wanahitajika.
+254727649494"
Huu ndio ujumbe alioutoa mitandaoni.Kwa hio kama una band ya muziki wasiliana kwa nambari uliyopewa.Bila kusahau mabinti 20 vilevile wanahitajika.
Comments
Post a Comment