HIVI JE KUNA GHOST MUSICIANS WANAOLIPWA NA MCSK KISIRISIRI.YAMEMWAGIKAAAAA!!!!!!!!!SOMA HAPA!!!!
Wasanii kadhaa wa Nairobu na wengine wa hapa pwani wameamua kuleta vurumai na mwamko mpya. Jamaa hao walioamua kutolala njaa wamesema kuwa kunao wasanii ghost yaani wasiojulikana wanaoliopwa kisirisiri na MCSK.
Kundi flani la wanamuziki hapa Pwani wameshikana na wenzao wa Nairobi na kusema wataandamana kwa ajili ya "Ghost Musicians" wanaodaiwa kulipwa huku wengine wakililia patupu. Vilevile wasanii wa Pwani wanachukua miaka na mikaka kupata nambari ya membership. Regional Director wa MCSK hapa pwani bwana Sango naye amekuwa kimya licha ya kutoa ahadi tele kwa wasanii.
Comments
Post a Comment