LOO!!! MSANII KUTOKA KAUNTI YA KWALE AMUUZA MKEWE KWA SHILINGI 500KSH.
MSANII TOKEA PAPA HAPA PWANI MAENEO YA KWALE ALIMUUZA MKEWE KWA SHILINGI 500 PEKEE.TUKIO HILI LA KUTAMAUSHA LILIWASHANGAZA WENGI KWANI WAWILI HAO WALIKUA WAMEOANA KWA MIAKA MINNE.MSANII HUYO KWA JINA MWACHAMBULI SARIA ALIMPIGA BEI MKEWE ANAYEJULIKANA KAMA ADA KASSIM KWA RAFIKIYE BAADA YA NDOA YAO KUINGIA DOA. ZAITWA KUKURU KAKARA ZA SANAA YA PWANI.
Picha kwa Hisani ya #TaifaLeo
Comments
Post a Comment