Posts

Showing posts from September, 2015

DAAAAHH HII NI BALAA!!!!! WASAHAU KINA CORAZON KWAMBOKA,VERA SIDIKA,WEMA SEPETU NA WENGINEO. MWANAMITINDO HUYU WA PWANI HUWAFANYA WAUME WENGI WADONDOKWE MATE!!!!

Image

ATI MSANII C'ZARS AMEFANYA NINI?

Image
 Rapper Kaa La Moto akutana na Babake msanii C-Zars aliyepotea na swala zito laibuka.Je msanii wa Bambam "amka ukatike" alipotelea wapi.Ndilo swala linalomfanya rapper wa Kenya Local Music is dead kukosa amani. Huyu ni mmoja kati ya wazee wanaokubali mziki wangu jijini Mombasa. .Baada ya mazungumzo marefu,aliniuliza swali nililoshindwa kujibu.. sijui mnaweza nisaidia. .Aliniuliza #Czars yuko wapi?

DAZLAH'S PRIMARY SCHOOL HEADTEACHER REVEALS THE SECRET TO DAZLAH' DAZZLING PERFORMANCE!!! (jua siri)

Image
 Ni msanii anayetamba kwa sana na mwenye mvuto wa kimavazi, tabia ya kuheshimika, bidii na mkali jukwaani.Si mwingine bali Chile Monde aka Dazlah ama Suleiman ukipenda. Huku akizidi kujizolea wingi wa mashabiki kwa burudani la kukata na shoka na la kuridhisha, meza yetu ya habari iliamua kupeleleza zaidi siri ya mafanikio ya mfalme wa Kidekide. Tulifululiza moja kwa moja hadi shule ya msingi aliysomea Dazlah. Walimu kwa wanafunzi walitukaribisha kwa mbwembwe ndani ya shule ya msingi ya Timbwani Baptist iliyopo Likoni. Baada ya kujitambulisha na kusema tulilolitaka, mwalimu mkuu Bwana Elishama Obuhaka alikuwa mwenye furaha kwa kujivunia mwanafunzi wake kuwa superstar na kuwaikilisha shule yake. "Kusema kweli Suleiman alikuwa mwenye bidii na adabu sana.Darasani hadi uwanjani.Siri ya mafanikio yake Ni heshima kwa watu wote. Nakumbuka vyema Suleiman alikuwa Sanitary prefect kwa sababu ya usafi aliokuwa nao.Vilevile alikuwa mchezaji mpira hodari na tulimpenda sana.Twamtakia kila la...

Top eight best dressed coastal Kenya celebrities. (number seven will surprise you!!)

Image
 8.Sis-P  7.Juma Shibe(Mj)    6.Bawazir  5.Ree the Bossete  4.Benso  3.Otile Brown  2.K-Lynn Ballerinah  1.Dazlah

SIRI YAVUJA....HIVI JE KILA REDIO STESHENI HUWA NA WASANII WAKE WA KUCHEZA HAPA PWANI?(part 1)

Image
Kumbe siri ya kufifia kwa Sanaa ya pwani si kubaniwa na washika dau wa Nairobi, kutopata show, kulaghaiwa na mapromota au mZiki quality mbovu!!? La hasha! Imebainika wazi kuwa swala nyeti linalofanya wasanii wa pwani kufifia ni migawanyiko ya airplay au ukipenda unaweza sema 'kila mtu na mtuwe'. Ni Mara nyingi mashabiki wa msanii Fulani wanapoomba request na presenter kudai hana nyimbo hio ama hata pia kamwe hamjui msaniihuyo. Kuongeza msumari moto kwenye kidonda badala ya presenter ajaribu kuutafuta wimbo huo ama msanii mwenyewe ndiposa aweze mtambusha na kuwapigia mashabiki wimbo wake, presenter analaza damu na kuwacha talanta ya mwenziwe kupotea. Jambo lengine la kushangaza ni pale msanii Fulani Ni supasta stesheni Fulani kwa kipindi Fulani na hajulikani kabisa kwa stesheni jirani. Vilevile tukirusha dongo kali kwa wasanii tabia ya kusambaza muziki wako kwa stesheni moja pekee unayojulikana so vyema. Hii inadunisha kabisa na kukuvuta chini kama msanii unayekua.

OTILE BROWN HACHOKI KUANGUSHA VIBAO VIKALI NA RAUNDI HII AMEACHIA KIBAO CHA KIZUNGU "EVERYTHING"

Image
Alipoanza wengi walidhani atakwama ila Otile Brown hakwami wala kutorudi nyuma.Baada ya kuangusha vibao kama Deja vu na Imaginary love,Brown amewachia kibao kipya kwa jina EVERYTHING. Otile ameamua kuyavulia maji ya kina kirefu kwa kujitosa kwa mdundo kwa lugha ya kimombo.Huku wengi wakimzoea kuimba kwa lugha ya kiswahili kwa sababu ya mizizi yake ya uswazi.Hivyo basi, tulia na usubiri kitu kikali kutoka dreamland music chini ya Produza Dr.Eddie.

PRODUZA TK2 NA AMZ WACHAMBULIWA KAMA NDUGU WAWILI WALIOHAMIA MJINI.....JE WEWE HUWAKUMBUKA WAZAZI WAKO WAKIWA VIJIJINI?

Image
Ni wimbo unaoleta dhana ya kweli kabisa na Produza msanii huyu amegonga ndipo kwenye utunzi wake.Baada ya kimya kirefu,Billy Moyses Produza msanii alitudokezea kuwa alikua anaandaa kazi za wasanii wengine ila Sasa yupo tayari kuachia ujio wake mpya.Tulipata nafasi ya kuusikiza wimbo wenyewe na kweli utunzi wake umesimama vyema huku Billy Moyses akiwataja Produza Tk2 na Amz pamoja na washika dau wengine kama ndugu zake walioamia mjini na anawaeleza kunavyoendelea kijijini. Chini ya studio ya New dawn records yuyu Huyu Billy moyses ndiye aliyeachia kibao kilochotesa sana kwa jina "MTAZAMO."

JE WAJUA KUIMBA AU KURAP NA WATAFUTA STUDIO???

Image
Kama wewe Ni msanii na unahitaji studio ya kurecord basi usitie shaka.254 record iliyoko maeneo ya Likoni yawakaribisha kwa auditions za kuenua vipaji na kusaka talanta mpya. Usikose kufika 254 records Leo hii kuanzia saa nne ili update kusajiliwa kama msanii wa studio hiyo. Kwa maelezo zaidi wasiliana na studio yenyewe kwa nambari 0720255178, 0712714305 or 0716629932.

FRIDAY EDITION:TOP TEN ZA PWANI USANII

Image
10.Sis P-Bonge la bwana 9.Dogo Richie ft Chikuzee- Muziki 8.Kaa la Moto-My voice my choice 7.Kisiwa-P Day 6.Twapambana-Hardlizz,Kizaizai hapa & Myra 5.CheZa Kidogo-Serah Sara ft Dazlah 4.Cry of Justice-Hustla Jay 3.Poripopo- Senior Dodger 2.Mama wanangu-Ziky wa Ziky 1.Tulizà nyavu (extended version)- Susumila ft Kaa la moto,Vivonce & Rabbit KWA UCHAMBUZI WA SANAA NA BURUDANI USIKOSE KUTUPATA LIVE ON AIR NDANI YA KIPINDI CHA TAMBARIZA MNYAMA MWAKEMWAKE NA DONDE SAMORA PILIPILI FM.KUANZIA SAA KUMI NA MOJA HADI KUMI NA MBILI.

WAJUA NI PESA NGAPI KUMUONA BINTIYE DIAMOND PLATINUMZ. SOMA HAPA!!!

Image
Septemba 20 ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya Diamond Platinumz na mashabiki wake waliposherehekea siku ya 40 ya mtoto wake ‘Tiffah’ tangu alipozaliwa. Sherehe hiyo pia iliambatana na kuoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza kwa mtoto huyo ambaye amekuwa maarufu na milionea akiwa bado mchanga.  Kumekuwepo na taarifa mbalimbali kuwa kuna kiasi cha fedha ambacho kimewekwa na Diamond Platinumz kwa ajili ya watu ambao wangependa kumuona Tiffah uso kwa uso. Hata hivyo, Diamond Platinumz ameiambia BBC kuwa taarifa hizo ni za uongo na kwamba hakuna gharama yoyote ambayo mtu anapaswa kulipia kwa kumuona mtoto huyo ambaye picha yake ya kwanza inayoonesha sura yake hadharani ilidhaminiwa na benki kubwa nchini.  Katika hatua nyingine, Diamond alieleza sababu zilizopelekea kumfungulia binti yake huyo akaunti ya Instagram tangu akiwa tumboni. “Ulimwengu wa mitandao sasa hivi, ulimwengu unakua na unavyomkuza mwanao lazima umtengeneze mapema, umtengenezee mazingira ya kuwa br...

MBONA MWAWABABAIKIA WAIGIZAJI WA BONGO HIVYO?-MUSCAT MORENO AWAULIZA WAANDALIZI WA FILAMU.

Image
Muscat Moreno,mwandalizi wa tamasha na director wa filamu vilevile amechukizwa na jambo Fulani.Mshika dau Huyu mwenye weledi mwingi kwenye tasnia ya uigizaji alifunguka haya kupitia ukurasa wake wa Facebook na kuwakashifu vikali waandalizi wa filamu hasa wa hapa pwani wanaowababaikia waigizaji wa filamu za bongo na kuwapa role za mbele kwenye filamu za Kenya. Moreno aliandika hivi... "I have nothing against TZ, but what baffles me is the rate at which Kenyan (Coast) producers are giving lead roles to Tanzanian Actors in Kenyan movies and TV series. Kwani Kenya actors hakuna? We cry for 60% local content but are we leading by example? TZ can never give a kenyan the same opportunity in their projects, lets stop this bullshit and appreciate our own."

MAFIOSO MUSIC GROUP KIKOSI KIKALI KINACHOWAKILISHA SOUTHCOAST DIANI.

Image
They are no doubt one of the groups to watch. Mafiso Music Group is one made up of three young, but super talented men, Ruksy, Mwasi and Puka Pisces, whose almost angelic voices blend so naturally to bring about a heavenly melody to our airwaves. They are by all means ready for the limelight and ready to prove to the world that areas considered to be as remote as Ukunda, South Coast, rests a musical gem yet to be discovered. Their musical paths crossed by chance as they all grew up together, though all singing in different groups before they merged to be what we know today. Since their merger, the Mafiosos have worked with legendary producers like TK2, Producer Totti, Kimshizzle, Bizi B, just to mention a few.. (you can head to YouTube and watch any of their videos and you'll understand that we are not just misusing words when describing them) The Mafiosos were overwhelmingly nominated by their fans for this year's Pwani Celebrity Awards under the category ...

MASAIBU YA WASANII WA KIKE KAMA.ANAVYOYACHAMBUA PRODUZA AMMZ.

Image
Huku wasanii wakizidi ongezeka na wa kike wakipungua kwa wingi.Mambo Fulani huwakumba na hivyo basi kupata matatizo mengi katika safari yao ya muziki.Baadhi ya matatizo Ni haya yaliyosemwa na Produza Ammz.Ammz,Produza gwiji wa SQ alipachika haya akigusia mada ya wanadada kwenye muZiki ............. "Wacha leo nikupe masaibu ya msanii wa kike. 1. Msanii mwenzake anamtaka ki mapenzi ndio wafanye collabo. 2. Producer anataka kuonjeshwa ndio aweze kumrekodi. 3. DJ na yeye pia yutaka ndio aweze kumcheza kwa club. 4. Presenter pia ana demand ndio aweze kumcheza kwa radio. 5. Event organizer pia hataki kuachwa nyuma ndio aweze kumpa show. I say simchezo. Ukiona msanii wa kike amepita mitihani yote hio na amefaulu mpaka amekua msanii mkubwa, basi anastahili kuitwa SHUJAA." JE UNADHANI KUNAO MAPRODUZA WANAOWANYANYASA WASANII KIMAPENZI??

KILA SIKU MWACHEZA WASANII WALEWALE.JE VIPAJI VIPYA VITACHIPUKA VIPI?- SWALI KWA MAPRESENTA!!!

Image
Kila uchao talanta mpya zazidi chipuka na wasanii kujizatiti kufanya muziki mzuri.Ila cha kushangaza na kusikitisha ni kuwa kunao wasanii wenye vipaji ila nyimbo zinazosikika ni za wasanii walewale.Ndiposa crew kali ya muziki imeamua kuwacharaza viboko washika dau(pwani usanii pia tumepewa viboko vyetu) kwa wimbo wao mpya kwa jina "Twapambana". Wasanii hao waliokuja pamoja chini ya Produza Shaa Sepeture wa 254 records iliyo maeneo ya Likoni ni Hardlizz,Kizaizai hapa na binti mkali anayechana kwa jina Myra.Watatu Hao waliamua kuja pamoja ili kuwasilisha wazo lao la kisanii kiujumla na kuwakilisha mawazo ya wasanii wenzao wanaochipuka. "Wasanii hawa walikuja studio na kuniuliza maswali mengi kwanini presenters hucheza wasanii walewale kila siku na nikawaambia badala ya kuniuliza maswali watengeze kibao kipya kitakachozungumzia swala hilo,"alieleza Produza Shaa Sepeture wa 254 records.Kibao "twapambana" kitaachiliwa wiki hii ijumaa.Bila ...

KUTANA NA BOBO RIDER AKIUPELEKA MUZIKI WA DANCEHALL PWANI LEVEL ZINGINE.

Image
Ni msanii anayetokea kusini mwa pwani kwa jina Francis ngutha almaarufu Bobo Rider. Msanii huyu anayetokea Ukunda anafanyia kazi zake chini ya Jungle Masters na kibao kilichomuweka kwenye charti za muziki ni "holiday" iliyovuma sana kwa street mixxtape za deejay buduki na vj Chris.Bobo, aliyeanza muziki mwaka wa 2000 kwa sasa anashughulikia wimbo wake mpya. "My current music project is a dancehall tune called party zone,whereby its video is coming soon.The video is visualized by Lil Guy-G and i'm planning to be one of the best dancehall artist in Africa,"alieleza Bobo Rider

TED JOSIAH ULIYOSEMA NI KWELI NA HAO JAMAA TUNAWACHEKIIIIII.........

Image
Tulidhani Ni hapa pwani ndipo pana hio "type" ya Hawa jamaa.Tunazungumzia DJs na presenters wanaofanya kazi kwa redio ilhali hao bado Ni managers wa wasanii.Kwa kila show zao wanacheza nyimbo za wasanii ila dakika na kukandamiza wasanii wengine.....soma alivyowapasha Produza wa tangu jadi Ted Josiah. Ukweli mtupu........... " You can't be a singer & at the same time claim your an unbiased radio presenter & you will play everyone's music. It's a conflict of interests right there. You can't be a TV presenter/Dj in charge of playing music videos & lifting up new artists & at the same time have a management company that manages artists. You will kill any artists your not managing. That's a conflict of interest. Let's stop lying to each other!"

TAZAMA VIDEO YA BENSO "DANCE NA SHIRO" AKIMSHIRIKISHA ABEKA.

Image
BENSO FT ABEKAH - DANCE NA SHIRO (OFFICIAL MUSIC VIDEO 2015)

KUTANA NA B4C (BORN FOR CHRIST) KUNDI LA MUZIKI WA GOSPEL.

Image
Their story is nothing short of inspiring. B4C is a gospel music group made up of two best friends, Fidhel Kyalo and Shadrack Kyalo. You will be forgiven to think they are brothers as the duo grew up together and have lots of childhood memories which they never miss to share whenan opportunity presents itself. They started their musical journey in December 2013. The songs they sing are mostly inspired by their life experiences together, all that they've gone through to be who they are today. They acknowledge the mentorship they got from the likes of Mbuvi, Mercy D' Lai, Mr. Cross, Maxton Media and many others who played a role in their growth.  Their first video, Rafiki, was released just 22 days after joining the industry. It then took a while before releasing their second song, Vumilia, again, talking about the hardships one faces in life with the hope of overcoming them someday. After Vumilia, their journey became a bit rossy, leading to the release of Fimbo Ya She...

BELLARY CLASSIC "LIKONI ZAWADI YENU HII HAPA.TAZAMA!!!

Image
Muite Bellary Classic au ukipenda "mwana wa Likoni." Alipohamia jijini Nairobi alitoa hakikisho kuwa lazima ataiweka likoni kwenye map ya muziki wa Afrika Mashariki. Hivyo basi safari yake imeng'oa nanga. Tazama kitu kipya kutoka ndani ya studio za mainswitch Nairobi na video iliyoandaliwa na Johnson Kyalo...wimbo jina Ni KILA SAA. IPO hapa

#‎EXCLUSIVESTORY‬ BROWN MAUZO SIGNED TO OGOPA DJZ LABEL.

Image
Mombasa born Kenyan artist Fredrick kilonzo, professionally known as "Brown Mauzo" burst onto the music scene in 2013 with the Song "Natamani" produced by his childhood friend Totti of Kg Record. The song themed the problem of violence against women it soon became a hit playing at top East African tv shows. The Phenom writer/artist & fashion designer returns with a song of its own class and this time he has been signed to the biggest audio and recording video company in kenya, Ogopa djs. Brown Mauzo who is set to launch his first work since signing with Ogopa Deejays is realising his debut with the label soon.Through his music he hopes to tell african stories, inspires and maintain swahili throughout his songs. Music trends come and go, but the actual sound remains imprinted on people forever.  Every genre can cause a shift in emotion and mood, but there some songs that can create an influx of sounds and completely take over you.....this is th...

DANCER AMPACHIKA MIMBA MWANAMITINDO(MODEL) NA KUVUNJA UHUSIANO WA KIMAPENZI.

Image
Yaonekana wingu jeusi limetanda kwenye ulingo wa wanamitindo mwaka huu.Baada ya kuchapisha habari kuwa ceo Fulani wa hapa pwani kufanya mapenzi na kuwaghalai models wake,Jana meza yetu ya habari iliingia chini ya carpet na kupata uhondo kuwa model kwa jina Renee Martins Ni mja mzito.Renee Martins ambaye Ni model aliyechaguliwa kwa tuzo za pwani celebrity awards kama model of the year na kitengo cha H umanitarian award of the year ameupata uja uZito baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na jamaa flani ambaye Ni dancer wa kundi LA Mystic Dance crew. Mwanahabari wetu alipofuatilia karibu alipata kufahamu kuwa jina la dancer huyo Ni Ian Mogere.Vilevile tuliwasiliana na Model Renee Martins ili tuhakikishe kuwa habari hii Ni ya kweli.Renee alituambia kuwa ni kweli ni mja mzito na mimba ya dancer huyo wa Mystic crew ila wametengana kama wapenzi na hana uhusiano na yeye tena.Bila kusahau yuyu Huyu Renee Martins ndiye mwenye Fanaka organisation inakuza vipaji vya sanaa. ...

BREAKING NEWS

Image
KWA HABARI ZA BURUDANI LA KUKATA NA SHOKA NA UHONDO WA WASANII WA AFRIKA MASHARIKI ILA TUKIWAANGAZIA SANA WA HAPA PWANI.  BASI USIKOSE KUTEGEA KIKOSI CHA ‪#‎ TEAMPWANIUSANIII‬ NA TAMBÀRIZA MNYAMA DONDE SAMORA ‪#‎ MWÀKEMWAKE‬ NDÀÑI YA PILIPILI FM. KWANINI UKOSE UHONDO, SIKIZA NA UCHANGIE VILEVILE!!! KUMI JIONI HADI KUMI NA MBILI!!! ‪#‎ FRIDAYEDITION‬

JUMBE ZA WHATTSAP NA INBOX ZAVUJA!!!!! CEO FULANI AWAT***A MODELS WAKE SANA NA KUTOWALIPA!!!!

Image
 Huku ukumbi wa modeling ukizidi kupata mabinti zaidi hapa pwani.Ceo wa kampuni flani ya modeling yenye jina na umaarufu mkubwa hapa pwani amevuka mipaka na kuwadhulumu wafanyikazi wake. Kalameni huyo yasemekana amekuwa akifanya mapenzi na models wake ili awape 'favours' na 'goody goody'.Jamaa huyo vilevile halipi models wake wanapofanya kazi.Models wake wakimpigia simu hashiki ama anaizima kabisa. Tazama jumbe za whattsap tulizopata kunasa kuhusiana na matukio yote ya kalameni huyo....