VIVONCE AMEANDIKA UPUZI FB NA NILIPANGA NA YEYE VIZURI ILA HAKUELEWA!" PRODUZA SCOTCH FINGAZ AONGEA.
Baada ya mwanadada Vivonce the Flag Lady kusema kuwa alitapeliwa na produza wa Nairobi, meza yetu ya habari iliingia chini ya carpet na kuongea na produza anayelalamikiwa na Vivonce. Produza mwenyewe si mwingine bali Scotch Fingaz wa Mandugu digital. Scotch alikana madai hayo na kumlimbikizia Vivonce lawama huku akidai kuwa Vivonce hakuelewa wala kuuliza.
Produza huyu alikuwa na haya ya kunena...........
"Haina haja ya kuficha....huyo producer ni mimi ila huyu Dada tulienda
Malindi tukashoot part ya kiasi ya video.....anayetaka sample atume
namba nimtumie kwa whatsapp....kisha ikawa yeye angependa kuichukua
nyimbo iwe yake......kumbuka hapo mwanzoni mimi nilimualika aje kwangu
nimfanyie kazi na mkataba wangu.....yeye kabadili na kusema angependa
kuridhi mziki huo sasa inakuwa vipi mimi producer nimekataa kumpa nyimbo?
Aliuliza kuridhi nyimbo nikampa bei? Hapo nilikosa au vipi? Akitaja
nirudishe elfu kumi ambayo nilifanya video naweza rudisha hata sasa hivi
nibaki kua sikufanya clips.....ila kama hawezi lipia kazi mimi track
nitampa mtu mwingine afanye hiyo kazi.....kwani wasanii mnatuchukulia
vipi sisi? We make you stars and yet you make us look stupid.......hata
sasa hivi niko na JI wa kidato kimoja na pia Sarkozi wote wanatamani
kulipia hii kazi waifanye na bado mimi ni mjinga sana kusubiri eti
utalipa ulivosema?????????? Fanya hivi kaifanye hiyo kazi kwingine dada i
don't think we can work on this.....good luck in your endeavors."
Hayo Ni ya Scotch Fingaz,Vivonce upo?????
Hayo Ni ya Scotch Fingaz,Vivonce upo?????
Comments
Post a Comment