"SIJAHARIBU MUZIKI!!!"DEEJAY BADAGAH ATOA KAULI YAKE.


Bila shaka nyote mwamfahu Deejay Badagah aliyena sifa kemkem pwani nzima.Badagah amekuja wazi na kutoa usemi wake kuwa yeye hajaharibu muziki kama baadhi ya watu wanavyodai.Deejay huyu alikua kimya kwa muda mrefu huku nyingi ya kazi anazofanya za remix kusikika mitaani na madiskoni.Kwa kauli yake mwenyewe hivi ndivyo alivyonena,
"Halo kenya coast n east afrka poleni kua kimya..cjapenda but any tym any day ntakua ewani poleni ata jamaa zangu wa radio..narekebisha mambo flani na serikali lawama ata mitaani ili mupate badaga yule yule ,kuna jamaa zangu wanafanya kama mimi ubaya kw mziki ku2mia badaga mpaka inafikia sina maana tena..ila nipo na mziki nafanya kama kawa..pliz wasiwaongopee ati ni dj badaga kuaribu mziki...poleni xana ila nipo xana mpaka mungu akatae....P.C AMANI NYOTE"
NA JE WEWE KWA MAONI YAKO; DEEJAY BADAGAH AMEHARIBU AMA KUJENGA MUZIKI WA PWANI??

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA