BELLARY CLASSIC: NAWAKILISHA LIKONI NDANI YA STUDIO ZA MAINSWITCH.



Wanasema Likoni ndio nyumbani pa vipaji na leo nawapa hakikisho.Msanii Bellary amemua kuingia mzima mzima kuiwakilisha Likoni ndani ya jiji kubwa la Nairobi.
Msanii huyu ameandaa videooja ya kukata na shoka itakayowazuzua wengi.Kwa sauti yake yenye mvuto na mapambo ya kunata mdundo,Bellary ametayarisha nyimbo kwa "kila saa" ndani ya studio mainswitch Nairobi.
"Niliamua kuingia Main switch kwa sababu studio wenyewe ina producer mkali na kazi zake zasifika vilevile.'Alisema Bellary Classic.

Pata kuitazama video teaser yenyewe hapa--->>>

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA