RAUNDI HII NYAVU ZITATULIA WAVUVI WAVUE.........REMIX YA TULIZA NYAVU RABBIT "THE KING KAKA" YUPO NDANI.
Ujumbe ulipitishwa ila haukuchoma sana ndiposa King Kaka Rabbit akaamua kuingilia kati kuongeza makali.Nyimbo iliyoleta tatanishi Tuliza Nyavu ya Susumila akiwashirikisha Vivonce na Kaa La Moto imetengezwa na kuongezwa mipasho.
Raundi hii kama alivyosema Susumila "wanaozua mitandaoni watazua sana" basi tutazua sana manake hiyo extended version ndio itakayozua tetesi kibao.
Huku produza Ammz akiwa na haya ya kunena kupitia ukurasa wake wa facebook.............
"Ukitaka kufinika beat ya Hip Hop vile
inavyopaswa mpaka umshangaze producer
wako, Ongea kilicho moyoni.
Hawa jamaa wamefinika beat yangu ya FL...
Yaani I mean TULIZA NYAVU extended
version....
Thanks Susumila Yusuf , Rabbit King Kaka , Kaa
La Moto Kiumbe and Vivonce Wandia ."
Wewe Je una yapi ya kunena? Ama wasubiri matokeo kutoka kwa wapinzani wao......hebu tuliza nyavu!"
inavyopaswa mpaka umshangaze producer
wako, Ongea kilicho moyoni.
Hawa jamaa wamefinika beat yangu ya FL...
Yaani I mean TULIZA NYAVU extended
version....
Thanks Susumila Yusuf , Rabbit King Kaka , Kaa
La Moto Kiumbe and Vivonce Wandia ."
Wewe Je una yapi ya kunena? Ama wasubiri matokeo kutoka kwa wapinzani wao......hebu tuliza nyavu!"
Comments
Post a Comment