"SIKUNYAMAZA!" SHINEY ATOBOA SIRI YA KIMYA CHAKE NA KUWAPA UJIO MPYA.
Baada ya kushirikishwa kwenye collabo ya MY EX na Boker Jay ,binti mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni aliingia mitini na kukimya kabisa huku wengi tukidhani ameshika mkondo uliofuatwa na Shamaniz na Rapdem.Tunamzungumzia Shiney.Binti huyu tulipowasiliana naye alidai kuwa yu masomoni ila bado muziki anafanya sana na kamwe hatowabwaga mashabiki zake.Shiney alidokeza kuwa anao wimbo mpya atakao uwachilia hivi karibuni.
Wimbo kwa jina MACHO(bigfoot production) na binti huyu ameeleza bayana siri kubwa inayohusu maisha yake itakayo washangaza wengi.Kwa sasa tusubiri kwani........tulia tu MACHO!!!
Comments
Post a Comment