MSANII WA NYIMBO ZA INJILI ANAYEWALAGHAI WATU KUPATA UMAARUFU WA HARAKA ATAMBULIKA!!!!

Sio kina Kanyari na Ng'ang'a pekee bali kuna jamaa flani papa hapa pwani anayewatatiza watu ili kupata kipato chake.

 Msanii huyu si mwingine bali ni BUSY BEE.

 Msanii huyu wa nyimbo za injili (gospel) yasemekana kuwa amekuwa akitumia njia za kutatanisha na za uongo ili apate umaarufu. Busy alichukua poster ya show ya Willy M Tuva na kuiweka picha yake. Tukio hilo lilimuweka pabaya na Busy Bee aliponea chupuchupu. Hivi majuzi msanii huyo alidanganya watu kuwa anaandaa video na director mashuhuri Godfather ambapo ilikuwa uwongo mtupu.
Leo hii, Busy Bee alichukua nyimbo ya Dogo Richy na Chikuzee-Mziki bila idhini ya wasanii wenyewe na kupachika video ikiwa na picha zake. Inasemekana Busy Bee hakuomba ruhusa yoyote kutoka kwa wasanii hao na kwa sasa wasimamizi wa studio ya Jungle Masters wanamsaka sana. Dogo Richy alikuwa na haya ya kusema kuhusu nyimbo yake kuchikuliwa na Busy Bee bila idhini.......
"Nimemwambia atoe nilidhani anataka kushare link kumbe anaeka utube nimekaripia sana kama hajatoa withn 30mints atakiona"
KWA HIVYO MKIMUONA BUSY BEE MWAMBIENI YUATAFUTWA!!!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA