CHAPATIZO AZUIYA NGOMA YETU, Promoter wa Wasiojali Band adaisha
Promoter wa Wasiojali Band Athman
baba akizungumza na mmoja wa wadaku
wetu amesema Chapatizo
ambaye alikuwa ameimba nyimbo hiyo pamoja na Susumila, nakuihama green house aliacha wimbo huo bila kuifanyia mastering na
hata kutishia kuifuta baada ya Susumila kuifanya tena na wasojali
band.
Promoter huyo amedai msanii tajika Susumila aliataka vijana hao kurudia stanza kadhaa, hali ambayo ilichochea kufanywa upya kwa nyimbo hio ambayo kwa sasa imetoka na iko kwenye radio mbali mbali, lakini hilo linamuuma sana Chapatizo ambaye aliagiza ngoma ifutwe akidai aligharamika kwa kuitengeneza ngoma .
Ngoma hiyo inayo julikana kama
Jirani iliachiliwa wiki iliyo pita na kwa sasa inafanya vizuri baada ya
Susumila kupush kuachiliwa kwa pini hilo.
Kundi la wasojali linawajumuisha Ability,Hamso , Jaybro na Kamalu.
By Nina Kagia.
Comments
Post a Comment