DICE GANG YAJIZATITI KUIWEKA DIANI KWENYE MAP YA MUZIKI "DEAR MAMA "
Ni kikosi kilichoamua kujifunga kibwebwe tayari kuipeperusha bendera ya southcoast Diani juu.Kikosi hiki cha muziki kuna wasanii wakali wakiwemo
1.kidcash dice
2.twiphy savage
3.tino da bigboss
4.rap keed
na tayari kina video mpya kwa jina mama.Video hiyo iliyoandaliwa jiji Nairobi chini ya uandalizi wake director Kamz wa ZEZEY JNR INC PRODUCTION imewapa wasanii hawa njia mpya ya kupaa kimuziki.Vilevile Dice Gang ipo kwa matayarisho kufanya kazi mpya na Shiney chini ya Produza Baindo wa Bigfoot production. Video ya DEAR MAMA ipo kwenye mtandao wa YouTube.
Comments
Post a Comment