UWEZEKANO WA GRIPMUSIK KUSAJILI WAWINDAJI MUSIC DUO/

 Wawindaji ni kundi la wasanii wawili mandugu HC na SD wanaotokea Mombasa.Wawili hao wanaofanya muziki wa RnB na maloveydovey yasemekana kuwa ipo nafasi ya wao kusajiliwa chini ya Gripmusik inayoongozwa na msanii Daddi Q. Tangu Gripmusik ihamie Nairobi imekua na ufanisi mkubwa sana. Grip imefanya kazi za kuandaa video na kurekodi muziki ambazo nyingi zimefanikiwa. Vilevile tumeona ushirikiano wao na Boomba videos, Evolution media, Bamboo, Juliani, Dj Mantix na wengineo.T
ulipowasiliana na Daddy Q alitueleza kuwa angelipenda kuwasajili Wawindaji kwa sababu wana talanta kubwa ambayo bado haijatumika vizuri.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA