GOSPEL SHOW EXTRAVAGANZA

MOG JUKWAA MOJA NA BIBLELIZERS,THE MUNGAZ NA GOSPEL SPREADERZ. 

Tarehe 20th jumapili ACK Guest house barabara ya Shelly Beach kutakuwa na show moja ya kukata na shoka pale wasanii wa kutoka Nairobi MOG waliovuma kwa vibao 'let him go' 'zingzing' na nyinginezo watakapo panda jukwa moja na Biblelizers,Gospel spreaders na The Mungaz. Kiingilio shilingi 100ksh advance tickets na 150ksh kwa gate. Usikose!!

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.