MCHEZO WA KIBE WA TOTTI

Baada ya kukumbwa na scandal ndogondogo za uongo ukweli produza wa Kay-G records amezuka tena. Totti ambaye mara ya mwisho tulipomsikia ni kwa wimbo wake wa mwaka jana HAWAKUFAI aliomshirikisha Renny Blazer uliofanya vizuri sana amejitosa uwanjani na kuachia wimbo mpya kwa jina MCHEZO WA KIBE.
Wimbo huo unaoleta maudhui ya maisha ya kawaida ya mwanadamu, mahaba na kulaghaina tayari upo hewani.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!