MASAUTI APAZA SAUTI ZAIDI GAGA

MASAUTI APAZA SAUTI ZAIDI

Ali Mohamed Said,almaarufu Masauti amepaza sauti kwa mara nyingine tena. Msanii huyu aliyetamba kwa vibao kadha wa kadha vikiwemo Mahabuba,Nurulain na vinginevyo alitudokezea kuhusu kazi yake mpya Gaga.
Wimbo huo unaozungumzia tamaa ya kumtongoza binti mwenye hadhi ya juu umeyaleta mawazo yake msanii huyu aliyeandaa wimbo wake chini ya producer Motiff.

"Video ya wimbo Gaga ipo tayari na iliandaliwa Mombasa na vilevile Nairobi,hivi karibuni itawachiliwa rasmi." Alitudokezea Masauti. Kupitia meza yetu ya habari,msanii huyu yupo katika safari ya kuiteka Afrika Mashariki kwa vibao motomoto alivyovitayarisha na atavidondosha tu pindi wakati murwa utimiapo. Kwa sasa tazama video yake ya awali....NURULAIN--->

https://youtu.be/8gIsxa3uEYA

Comments

  1. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma,

    Kwaheri Gerd Ulrich

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA