MSANII SHEPHARD KAMFANYA NINI PROMOTER WAKE LUKESMART ?


BAADA YA PURUKUSHANI ,JE MSANII SHEPHARD KARUDIANA NA PROMOTER WAKE LUKESMART ENTERTAINMENT????

Ni mnamo mwezi wa saba pale vute nikuvute zilitanda kati ya msanii Shephard na promota wake Lukesmart. Baada ya Lukesmart kumsimamia Shephard kwenye project zake kadhaa na kuandaa tamasha nyingi wawili hao walianza purukushani na malumbano hadi ikapelekea uhusiano wao wa kikazi kuvunjika.

Ni hivi majuzi tu baada ya Shephard kutoka safari zake za Zanzibar na Tanga ambapo Shephard alipost picha akiwa na promoter wake wa zamani Lukesmart.

Vilevile si muda mrefu tayari Shephard akadondosha kibao kipya akimshirikisha Dazlah kwa jina 'CHEKO'.
Tazama hapa->https://youtu.be/O-Tdf6XmCSU

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA