USHAIRI JASIRI: KUTANA NA GWIJI WA MASHAIRI MAMBOLEO.
Mamboleo ni Swahili poet ama mshairi anayetumia lugha ya kiswahili.
Mshairi Mamboleo anafanya sanaa yake hapa nchini Kenya na amekuwa akifanya kazi na Mrisho Mpoto wa Bongo.
Jamaa huyu kwa sasa ameachilia kazi mpya kwa jina Kumekucha.
Hii ni project ya kuhamasisha jamii kutokana na ubaya wa ukeketaji (Anti-Fgm).
Kazi hii yake mpya inaelimisha sana jamii hasa wanafunzi na pia media. Ni njia mojawapo ya vile sanaa hutumika kufunza jamii za Kiafrika. Ni project amefanya na shirika la The guardian kutoka Uingereza.
Unaweza kuitazama Video Yenyewe hapa ===> https://www.youtube.com/watch?v=rGcCm0lh6wU&feature=youtu.be
Comments
Post a Comment