SWAHIB WA MASSELE -"POLE"
Swahib wa Massele ni msanii tokea maeneo ya Kilifi. Msanii huyu ambaye vilevile ni produza wa Baseline records ameachia kibao chake kipya kwa jina “Pole”.
Tuliwasiliana naye na alikuwa na haya ya kunena.......
"Nilifaa kuachiliwa nyimbo yangu tarehe 30, mwezi wa November Mwaka
huu. Lakini kwa sababu ya kutoelewana baina yangu na management, nyimbo
ikachelewa kutoka. Hivyo basi, kwa kuwa nimekuwa msanii wa kujitegemea
mwenyewe ninawachilia nyimbo hii tarehe 8/12/2015, ambayo itakuwa
jumanne."
Nyimbo hii imekomesha kimya chake kilichokuwa cha Zaidi ya nusu mwaka, na sahii Swahib amerudi na nguvu mpya."
Nyimbo hii imekomesha kimya chake kilichokuwa cha Zaidi ya nusu mwaka, na sahii Swahib amerudi na nguvu mpya."
Comments
Post a Comment