REDSAN AFANYA VIDEO SAFI NA SESAN.
Ana mazoea ya kukaa kimya kimuziki ila pindi awachiliapo muziki basi hutetemesha industry yote.
Sio mwingine bali superstar ambaye wengine hudai mizizi yake imeanzia hapa pwani; Swabir Mohamed almaarufu Redsan. Jamaa huyo amefanya kazi safi kwa jina shoulder back na video imeandaliwa na Sedan. Sedan, ni videographer mkali zaidi Afrika na amefanya kazi na wasanii tajika. Redsan Sesan wameamua kuutambulisha mtindo wa dance mpya shoulder back kwa video ya kukata na shoka na bila shaka hawakulenga kando. Video yenyewe ilifanyiwa nchini Africa Kusini.
Comments
Post a Comment