BAADA YA MIAKA TISA AKOTHEE AAMUA KUIHAMA MOMBASA.
Msanii wa kike mwenye hela zaidi Kenya ameamua kuaga maisha ya Uswazi.Akothee ambaye ameishi mjini Mombasa kwa miaka tisa amehamia jijini Nairobi. Msanii huyu aliye na vibao motomoto kama vile Shangerera alipachika ujumbe huu kwenye mtandao............
"“MOMBASA WAS REAL, 9 YEARS
OF FUN MPAKA NIKATOKA NA
VIKOMBE , A REAL EXAMPLE OF A
NOMADIC WOMAN SEARCHING FOR
A GREENER PASTURE!YAANI
PASTORALIST. SEE YOU
SOMEDAY #MOMBASA I MISS YOU
ALREADY ,I WILL CLIMB
MOUNTAINS FOR MY
CUBS #TEAMPOSITIVITY #"
Kwaheri Akothee.
Comments
Post a Comment