LIL SHAKES AWATOA KIJASHO WASANII WA JIJI KWENYE CHART YA MUZIKI.
Amewachilia kibao kipya DOING IT cha hiphop hivi majuzi na akaamua kutolegeza kamba.Lil Shakes kutoka kikosi cha Coastside Militia amepanda kwenye charti za muziki wa Nairobi kwa kuwapa kivumbi wasanii wakubwa. Chart iliyokali zaidi Kenya ndani ya Tribe43 gazeti la PEOPLE DAILY inawakilisha wasanii Kenya nzima wanaofanya vyema.
Hongera kwake.
Comments
Post a Comment