LIL SHAKES AACHIA KIBAO CHAKE CHA PILI "I'M DOING IT"
Aliamua kuja kimtindo tofauti wa hiphop na Lil Shakes halazi damu kamwe.Akiwa kwenye kundi la hiphop la Coastside Militia, Shakes ameachia kibao kipya toka studio za Kelele records kwa jina IM DOING IT. Akizungumzia bidii maradufu anayoweka kwenye muziki,msanii huyu amejibiidiisha kuweka sahihi yake kwenye map ya muziki wa pwani. Tusiseme pwani tu bali Kenya nzima kwa jumla. Download Lil Shake's new truck "DOING IT" on mdundo for free"http://mdundo.com/a/5897"
Comments
Post a Comment