KUTANA NA THE REAL MAPETE BABUDEE.


Ukizungumzia masonara na mapete kibao. Hapa basi mmefika, jamaa huyu ana mapete zaidi ya mnavyofikiria. Babu Dee Mapete ni msanii wa hapa pwani ambapo mama yake ni mtaita kutoka voi na babake ni mtanzania. Mapete ashawahi Fanya bonge la colabo na Ali kiba "kilio cha moyo" na vilevile akatoa kibao "gazeti la taifa' na kwa sasa ameachia ngoma yake mpya inayoitwa "Nairobi baridi."
Video hiyo kwa sasa pwani tv iko number 1 kwa chat ya kumi kali.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA