VIGEZO VYA ILLUMINATI KWENYE VIDEO YA SUDI-BOY!!!!!
Hadi Laini ndio wimbo mpya wa SudiBoy akipewa shavu na dj Creme De La Creme pamoja na Wahu. Wimbo huo unaomilikiwa na Dj Creme,unaenua kope za macho yetu kwa kuna vigezo flani vya kundi la waabudu shetani,Illuminati.
Wimbo huo uliyotayarishwa na producer Yo Alex ndani ya studio za Homeboys uliandaliwa na video director kwa jina Odibz na kuna sehemu flani yadhihirika Wazi alilolifanya Dj Creme ni ishara ya Illuminati.
Hivi je alifanya akiwa na kusudio gani ama hakujua Maana??????
Tazama video yenyewe hapa.....
https://youtu.be/lLmQsPohvNI
Comments
Post a Comment