UTALII NDIO TEGEMEO LETU!!! WASANII WA PWANI WAFUNGUKA KUPITIA WIMBO MPYA!!!

Baada ya kuwachia kibao NILIPE akitetea haki za wasanii,msanii shupavu Benso anayefanya mtindo wa bounce na commercial hiphop amerudi tena kwa kauli nyingine. Benso,akiwashirikisha wasanii Gee Gee na Kigoto ameandaa wimbo huu kupitia produza Beatsboy na ama kweli amegonga ndipo. Huku magwiji hao watatu wakisema mazuri ya mji wa Mombasa na mandhari ya pwani.
"Kusema kweli,Pwani tumebarikiwa na mambo mengi na ni Wakati wa kuwakaribisha wageni huku kwetu. Hakuna ukabila,watu wanafanya kazi nzuri kwa bidii na usalama dhabiti pia upo. Vilevile, tunazo beach maridadi kabisa na mbuga za wanyama bila kusahau viongozi wenye bidii na hulka ya kulisifia jiji letu. Kweli Pwani tumebarikiwa!" Alieleza Benso.
"Kwa nini nisi Isifie Mombasa mji wangu #001 Nilikozaliwa Na wanavyosemaga Mombasa raha kwa sheshe kwa vyakula..mandhari yetu..county 001 mchana ndogo usiku kubwa...#KaribuMombasani
#Karibumombasani
#County001
Siku mbili zimebaki
Mtapata kazi yetu mpya
27.10.16" Alisema Kigoto.
KWA HIYO SUBIRINI KWA HAMU NA GHAMU UJIO HUO!!!!

Comments
Post a Comment