AMA KWELI UZURI WA PWANI UMEDHIHIRIKA HAPA!!!!!
Benso,Gee Gee na Kigoto wameamua kuja pamoja kusheherekea uzuri wa pwani. Kwa rap iliyokomaa ya Benso,sauti nyororo ya binti Gee Gee na sauti nzito ya Kigoto mahanjam yamepandishwa na mzuka wa muziki umekolea vilivyo.
Kwa ustadi wa Produza na chini ya himaya ya BRAIN CHILD MUSIC GROUP wasanii hawa watatu wameweka muhuri ndani ya jiji la Mombasa na bila shaka pindi wageni watakapo usikia watatamani kuzuru.
Pata kuutazama kwa mara ya kwanza hapa(lyric video)
https://youtu.be/wILSIKuLxQQ .
Comments
Post a Comment