TWAMTAKA BUSY SIGNAL MOMBASA!!!
Familia ya muziki wa dancehall wamekasirika,hii ni baada ya msururu wa show zilizofanyika Mombasa kuwa za wasanii wa Bongo na hivi majuzi RnB,(Chris Brown).
Vincent Kras ambaye ni mwanaharakati wa muziki wa dancehall anaongozo kilio hiki na anamtaka gavana Joho kuingilia kati na kumleta Msanii mashuhuri wa Jamaica,Busy Signal.
Cheki alichopachika Facebook....
Comments
Post a Comment