SIRI ILIYOFANYA ALIKIBA KUZIMIWA MIC NA MANAGER WA DIAMOND WAKATI WA SHOW YA CHRIS BROWN!!!!


Ni hivi majuzi,msanii wa bongofleva Ali Kiba alidai kufanyiwa hujuma kwenye tamasha ambalo alikua anatumbuiza la #MombasaRocks.


Hii ni baada ya kuambia mtangazaji wa kipindi cha Mseto inayorushwa na Radio Citizen Mzazi Willy M Tuva,Kiba alidai kua alizima Mic na kusema kulikua na misunderstanding ya organisers,kikubwa alitilia mashaka uwepo wa meneja wa Diamond Platnumz kwenye backstage na kufoka,alikua anatafta nini na hauhusiani kamwe na shoo,angeingia VIP atazame shoo.Haha,,Patamu Hapa!
Sasa ili kupata upande mwingine wa stori,Tuva alimleta kwenye kipindi meneja huyo wa Diamond,Salaam Gorge Mendez ili anyooshe maelezo,na alikua na haya ya kusema,"Nlienda kwenye hiyo shoo kukutana na management ya Wizkid,kwanza mnachofaa kujua ni kwamba meneja wa Wizkid ndo meneja wa DIAMOND kule West Africa,so akija huku East Africa lazima anipigie simu ya kikazi,pia nkienda kule nampigia simu.Yea,nlikua backstage,kulitokea kama malalamiko hivi,na shoo ikasimama kama dakika 30 hivi,Kiba akidai kua yeye ndo anafaa kuja baada ya Wizkid sababu ako na fanbase kubwa Kenya kumliko,na kwa mkataba CB alikua anafaa kua amemaliza kuperform before saa saba ndo aondoke.Wizkid alipoingia stejini nilikua apo kando yake,and ndo aliposhuka ndo tukashuka,tulikua kama watu sita hivi,nilikua kama 50metres kule kwa backstage Kiba akiperform na mnayofaa kujua ni kua Sound System haipo nyuma ya stej ipo mbele,sasa naezaje kwenda kumzima Mic.Kile ninachomwambia Kiba coz tutakutana MTV,ataniona tu kwenye backstage,asipanic,am a so simple person,aache chuki,na tuje pamoja tuwakilishe East Africa.Sasa hivi kuniona pale anataka kumchafulia jina Diamond na kufanya wakenya wamchukie Diamond.Anafaa kuniomba msamaha na aombe wakenya msamaha,kama hatoniomba mimi,mimi nishamsehe.
Pia,Tuva ili kupata ukweli wote alimleta kwa shoo Dj aliyekua ndo amekipiga music ya hiyo shoo yote,alikua na haya ya kusema,"Oky,mimi nilishangaa napiga music for 30minutes,Ali Kiba alitakiwa aperform,hakuingia steji,na Chris Brown alikua anafaa kuondoka baada ya shoo yake,so alikua anaharakishwa,management ya CB ilikasirika walipoona Kiba akichukua time kwa steji,so walikata na kuzima Mic.

Comments

  1. Huyu Ali Kiba yuapenda vineno vidogo vidogo na ni kawaida ya failure hakosi sababu...asituletee uMac Muga kama hiyo project yake.Ali Kiba hana uwezo wakufunika Diamond platinum na akae akijua hii chance alinayo Diamond yeye ndio alikua anafaa kua..yeye alipopiga collabo na R-Kelly tena ilikua promotion ya Airtel akafura kichwa...wanasema Diamond platinumz anatafuta collabo,Ni sawa sababu yeye ni mtafutaji na sio mtu wakuletewa mezani na kula.kumbukeni bidii hiyo hiyo ndio ilimfanya afanye collabo na Davido,so Ali Kiba atulize nyavu samaki waingie..UKICHENGWA TULIA��������

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA