KASSAMONEY:SITAKI UPUMBAVU WA PWANI FM!!!!!


Rapper Kassamoney anatokota kwa uchungu wa presenta wa kipindi cha MashavMashav cha pwani FM,Lucas de Demacknon.
Kassamonye aliye na hulka ya kuwatoanisha presenta alikua mwingi wa maneno pale alipotuma wimbo wake mpya na kutochezwa.

Jamaa huyo wa Coastside Militia alipachika kwenye wall yake ya Facebook wa habembelezi presenta na wala hatoi hongo.KASSAMONEY aliongezea kuwa Presenta hujigamba sana na kujifanya juu ndiposa hawaendei.

Comments

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. I've not been so keen on Kassa Money's posts, but this one has caught my eyes, I feel he's on the right side, why should we be begging presenters to play our music yet its something we've worked so hard to make..?
    Thank you Kassa for speaking out your mind, its better than gossiping

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA