MANDHARI MAZURI VIDEO NZURI KUTOKA LAMU.



Baada ya pwani usanii kutambulisha studio iliyopo maeneo ya Lamu,basi yaonekana kumepamba moto.
Studio ya Island Love records kwa sasa inashughulikia video mbili vichapo za wasanii wao.Wakifanya kazi hiyo na director mkali kutoka Nairobi,studio hii ipo tayari kukamilisha video zake mbili za wasanii Donny na Man Azzer.


Mandhari mazuri na mvuto wa Lamu umeipamba video vilivyo na bila shaka utamu utadhihirika pindi kazi itakapo kwisha.




Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA