NEW VIDEO ALERT: WEWE - SUSUMILA ft AVRIL
Baada ya kufanya collabo na King Kaka wa Kaka Empire, mkali wa Ziki la Nazi Susumila ameingia kwenye studio na kuangusha collabo nyingine na Avril, aliyes chini ya Kaka Empire. WEWE ni ngoma iliyoandaliwa na Produza Totti na Video kufanywa na Ricky Bekko.
Icheki hapa --->
Icheki hapa --->
Comments
Post a Comment