GAVANA HASSAN JOHO........SISEMI KITU
Huko akiendeleza miradi bumbum na kukuza uchumi,Gavana wetu shupavu alijitosa uwanjani hivi majuzi kusakata kabumbu. Mheshimiwa Ali Hasan Joho alikua kwenye uwanja wa Mlaleo 7-aside akipiga chenga mbili tatu.
Uwanja huo uliotengenezwa kwenye safu za kimataifa utakua mstari mbele kukuza uchezaji soka miongoni mwa vijana wa pwani.
Akiwa pamoja na Mheshiwa Bedzimba,Joho alionyesha weledi wake wa kutikisa nyavu na kuzituliza Vilevile.Tazama picha....
Comments
Post a Comment