SiS P AGADHABISHWA!!!!! KISA NINI???......SOMA HAPA!!!
Mwanadada wa bonge la bwana,Sis-P ameguswa pasipostahili. Binti huyu aliyechini ya A Million records ni mwenye uchungu na wanahabari wa Kenya. Sis-P kupitia account yake ya Facebook alizisuta media house za Kenya kwa kutoonyesha uzalendo.
Haya yamejiri pale,mwanamuziki Diambond Platinums kulakiwa bega kwa bega na wanahabari furifuri kwenye uwanja wa ndege ilhali wanariadha wa Kenya hawakupokelewa na yeyote.
Sis-P anayevuma kwa video yake ya uchoyo aliyomshirikisha Dazlah alikua mwingi wa maneno na kushtumu Wakenya kutokuwa wazalendo.Cheki screenshot ya akaunti yake ya Facebook.
Comments
Post a Comment