MLIPUKO WA MABINTI!!! HII ITAKUWA KALI SANA!


Produza Amz Jadidi almaarufu tone la maji alifunganya virago kutoka kambi ya SQ records na kuanzisha himaya yake kwa jina TEMPOZ.Kwa kipindi kifupi,Tempoz imefanya juhudi kuu na imeonekana kutoa hits nyingi zinazotikisa pwani na Kenya kiujumla.

Kwa sasa Produza Amz amewaleta pamoja wasanii wa kike ili kufanya kazi pamoja. Wasanii hao wakiwemo Mamalao,CML,Pendo,Tatu,Jovial na Vivonve wamejitwika vazi la Tempoz na tayari ujio mpya upo njiani. Kwenye kumbukumbu zetu,pwani imekua na mlegezo Fulani kuenua mabinti kwenye sanaa.

Wasanii wa kike ni wa kuhesabu tu ba hivyo basi,Amz amejaribu kuliziba pengo hili na kutaka kutuonyesha kuwa wasanii wa kike wapo na wanaweza.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA