MSANII AKOTHEE AZIRAI BAADA YA HABARI KUHUSIANA UJA UZITO WAKE!!!


MSANII AKOTHEE AZIRAI BAADA YA HABARI KUHUSIANA UJA UZITO WAKE!!!

Msanii mashuhuri wa hapa Kenya,Akothee alianguka na kuzirai kwenye kituo cha reli Geneva, nchini Kenyan singer Akothee Switzerland,Jumanne Agosti 30,ambayo ni Leo.
Akothee alikimbizwa hospitalini haraka iwezekanavyo kama alivyoeleza ,Nelson,meneja wake.

Kulingana na habari alizozitoa Nelson ni kuwa Akothee alitarajia kupata mapacha na madaktari walisema kuwa hali ya pacha mmoja haipo sawaa.
"Akothee was expecting twins, but doctors at a Geneva hospital say they can’t feel the second unborn baby’s heartbeat."
Kwa sasa msanii huyo wa GIVE IT TO ME yupo hospitali na anaendelea na matibabu. Team pwani usanii,Twamtakia hali njema na apone haraka.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA