JAGUAR AMUONDOLEA GENERAL DEFAO AIBU (PICHA)

Msanii wa mziki wa Lingala General Defao alijipata matatani baada ya kushindwa kulipia gharama za chakula za malazi, lakini akaokolewa na msanii wa Kenya na Director wa NACADA Jaguar.
Muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 57 alikuwa ameshikiliwa kwenye hoteli ya Rickseaside Villas huko Nyali.
“Kutokana na tukio hilo la bahati mbaya la General Defao, aliyeshindwa kulipa bili kwenye hoteli ya Mombasa, nimejitolea kulipa kiasi hicho cha fedha kwakuwa mimi ni msanii kama yeye na hiyo inaweza kutokea kwa yeyote,” alisema Jaguar.
Muimbaji huyo alikuwa anadaiwa Ksh 20,000

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA