MSANII WA PWANI DULA THE AFRICAN SONGBIRD KUTUMBUIZA JUKWAA MOJA NA ROMAIN VIRGO.


Tarehe 24 mwezi wa September (weka alama kwenye kalenda) kutaporomoshwa bonge moja la show ya kukata na shoka.Yard Beat entertainment waandalizi wa tamasha litakalowaleta wasanii kadha wa kadha wa hapa pwani,wakiwemo Dula the African Songbird, Frankie Dee,Fidempa na wengineo wamelileta tamasha hizo kwenye jumba la kimataifa la KICC.

Hivi majuzi,ufanisi kwenye anga za muziki wa reggae na dancehall pwani umeanza kuonekana na wasanii wamejizatiti kuenuka vilivyo. Dula,ambaye Vilevile ni Produza shupavu ameachia vibao kadha wa kadha vya kusisimua kama vile singing the same songs,Loose control na Tiara.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA