PAPAH ASEMA HAUZI MB**O KWA VINYANYA BAADA YA UVUMI KUVUJA KATI YAKE NA MAMASIZO.
Papah msanii gwiji anayetokea Hornet records na vilevile mwenye ushawishi mkuu ndani ya studio hiyo ameamua kufunguka.Jamaa huyo alipandwa midadi baada ya uvumi kutamba kuwa yeye na Mamasizo ni wapenzi.Papah alinakili haya kwenye ukurasa wake wa Facebook............
"huaga spend thiki bt daily watu wanitafta na maneno madogo madogo, eti saa hii nambiwa mama sizo ni manzi yangu......! hivi hamuoni she is nt my age?! or do u think I'm selling my dick to old women?! nachukia story za kishoga sana."
HABARI NDIYO HIYOOOO...!!!!
Comments
Post a Comment