MWANAHARAKATI WA HIPHOP HUSTLA-J AKUTANA NA CHIEF JUSTICE WILLY MUTUNGA.
Ni mwanaharakati wa hiphop ambaye amepigania haki kupitia muziki wa
hiphop;Hustla-J. Msanii huyu aliyetoka kabisa kwa mara ya kwanza kwa
wimbo wake MINYORORO YA HAKI alimtembelea CJ Willy Mutunga ofisini kwake
ili kuandaa mikakati ya project ya Africa is Now foundation. Hii
inadhihirisha wazi kuwa sauti ya wanamuziki wa hiphop imesikika na bila
shaka itafika mbali zaidi.
Comments
Post a Comment